Posts

Showing posts from September, 2014

Serikali imekubaliana na Benki ya CRDB, PROGRAMU YA KUKUZA AJIRA KWA VIJANA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU.

Image
Kwa kuwa kasi ya wanaojiunga elimu ya juu nchini imeongezeka wastani wa (48% kwa mwaka) na Wizara imeona vijana wanapomaliza elimu ya juu wanakuwa na elimu ya nadharia katika fani walizozisomea ,tumeona kuna umuhimu wa elimu ya ujasiriamli, mitaji na maeneo ya kufanyia uzalishaji na biashara ambavyo ni msingi wa programu hii. Programu hii ni bora kwa kuwa ina vigezo vya ufuatiliaji na tathimini ya utekelezaji. LENGO: Lengo kuu la program ni kuongeza fursa za Ajira 30,000 za moja kwa moja kwa vijana wahitimu wa elimu ya juu kwa kipindi cha miaka mitatu (3) na kuwawezesha vijana kujiajiri na hata kuajiri vijana wengine kutokana na miradi watakayoibuni wao wenyewe. MIRADI. Miradi itakayoanzishwa itatoa ‘Mnyororo mzima wa thamani’ au INTERGRATED CROSS VALUE CHAIN (ICVC) Kwa mfano,mradi wa Alizeti na ukamuaji mafuta. 1st step- Uandaaji mashamba,ulimaji,upandaji,palizi na uvunaji 2nd step- Usafirishaji, uhifadhi, usindikaji 3rd step- Ukamuaji mafuta, ufungashaji na uuzaji mafuta. PROGR

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUZINGATIA VIGEZO ILI KUNUFAIKA NA MIKOPO YA MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA (YDF)

Image
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya Vijana kwa waandishi wa habari wakati alipokuwa akito ufafanuzi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF) leo jijini Dar es Salaam. Kuliani ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia   Niyibitanga. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia taarifa kuhusu Mfuko wa Vijana wakati wa mkutano wa msemaji wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na waandishi hao uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Ha

Christian Support Foundation (C.S.F) With Organization of African Youth and Youth-to-Youth Fund

Image
Christian Support Foundation (C.S.F) and Youth-to-Youth Fund. The Youth-to-Youth Fund component of the Facility offers local youth-led organizations an opportunity to actively participate in the development of youth entrepreneurship in their communities. It is a competitive grant scheme that supports small-scale youth entrepreneurship development projects implemented by youth-led organizations. The Youth-to-Youth Fund was created as a mechanism to identify, test and promote innovative entrepreneurship solutions to youth employment challenges. This goal is accomplished through a competitive grant scheme for youth-led organizations to propose innovative project ideas on how to create entrepreneurship and business opportunities for their peers. The organizations with the most innovative project ideas receive a grant and complementary capacity building to help them implement their projects and test the viability of their ideas. The scheme is implemented simultaneousl

As nonprofits, volunteer groups, youth programs, and nongovernmental organizations!

Image
As nonprofits, volunteer groups, youth programs , and nongovernmental organizations take on larger roles in contributing to local well-being, the active collaboration between youth and adults is vital to the long-term success of development efforts. Similarly, as community service activities become a more standardized component of high school programs, youth are being given opportunities to become long-term contributors to local development efforts. There are nine general steps planners can follow to assist youth in becoming leaders and active participants within their community. Steps to Take 1. Provide youth opportunities to contribute. Consider new ways to involve youth and allow them to offer input during decision-making, problem-solving, and action-taking activities. Active collaboration with youth will engage them in ways that will open doors for them to contribute. 2. Increase involvement of youth. Present opportunities for personal self-growth, skill enhance

What is the main goal of your project?

Image
General guidelines for writing project proposals apply for youth project proposals, although, in this case, the strength of your proposal will be assessed against your ability to make a case for the importance of investing in youth in your community. Whether you are applying for an award that is specifically tailored for youth organisations or whether you are answering to a more general call, which emphasizes the necessity of involving young people in the proposed projects, you should stress the reasons why it is of utmost importance to give preference to young generations in your specific case.     Start by reading relevant reports and official documents drafted by the UN concerning youth. You will find this material arranged by topics, which will facilitate your search. For instance, if your NGO is proposing a programme to train young people in your community, make sure to read the reports written about youth unemployment and write down facts (which could further support your case)

You can also be A part of successful stories.

Image
Thanks to our Partner Christian Faith InAction (C.F.A), as member of Christian Support Foundation(C.S.F) under Wise Men Council, I and my Partners(C.F.A), we were able to reach the unreachable people in Manafwa, Mbale - Eastern Uganda, close to mountain Elgon! few miles from Kenyan Border..It was there with  my friends from Christian Faith InAction (C.F.A) who made a huge change by helping children to get back to school with UNIFORMS and BOOKS.. and it was a challenge to local leaders who gave us 3 days to stay with them and share with them different ideas! the village welcomed us with great strength..That is a place where cars and motorbikes can never reach(parts of Mountain slides )! we had to walk for more than 3 hours to get there..It was a life time challenge..but from that! kids are now getting back to school with BOOKS..thanks to Christian Faith InAction (C.F.A)..You can also  be part of successful stories.                         Tessi, Tabitha and the kids that they supp

Wise Men Council

Image
Wise Men Council is a non profit organization dealing with youths development in third world countries, we base in Tanzania but we have our partners in Uganda Kenya and Rwanda and we believe to make the best solutions within our communities as we enlarge our territories.. we also partnering with csf and with that we are helping orphans and street kids to be at school.. i take this opportunity to welcome you to join us and make our dream come true covering all Africa.. we welcome friends and family all over the world to be part of the team.. as you can see through media many African Youths having huge problems in basic needs ,jobs, drug,war and high crime rate..we believe to stand with women and children too.. thank you and God bless you

JE LENGO AU NDOTO ZAKO ZINATEGEMEA SELIKALI? UKIWA KAMA KIJANA..

kutokana na sababu za kiuchumi, imeonekana kutakuwa na tatizo la kufanikiwa kwa vijana ambao wametolea macho selikali pekee na kushindwa kujiimarisha kwa njia mbadala au njia nyingine! imeonekana kwa utafiti uliofanywa na mtafta habari wetu ambaye amekuwa akifatilia maendeleo ya vijana walioweka nia yao ya mafanikio kupitia mlango wa selikali ili wafikie malengo..akiongea na baadhi ya vijana ambao wameonekana kukatishwa tamaa baada ya selikali kuweka mkazo kwenye mambo mengine tofauti! na kuweka la vijana kwenye listi yenye uvumilivu mkali ambayo inaweza kuchukua muda mrefu sana..baadhi yao wakitoa machoz wamesema ni afadhali tungejua mapema sasa tungekuwa mbali katika harakati zetu..lakini tunashukuru kwa baadhi ya secta binafsi ambazo zinashirikiana na selikali katika kuinua maendeleo ya Vijana, hatuna budi kukabiliana na hali halisi iliyopo kwa sasa! hivyo tunaiomba selikali kuzidisha na kuiendeleza KAMPENI KALI juu ya maendeleo ya vijana Tanzania..baadhi ya vijana wanazidi kuangami