Kaz zikiwa ngumu zaidi kupata hivi ndivyo tutavyofanya!! asema kijana mshtkiwa

KUTOKANA na kuzidi kushamiri kwa matukio ya uhalifu nchini, huku wahusika wakionekana kutumia sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jeshi hilo limeonya na kupiga marufuku wanaovaa sare za majeshi na kutumia vifaa vyao.
Taarifa iliyosambazwa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ kwa vyombo vya habari jana, inaeleza kuwa hivi karibuni kumekithiri kwa vitendo vya uovu huku wahusika wakiwa wameonekana wamevaa sare na kutumia vifaa vya jeshi hilo.
 
je mpaka lini tutaendelea kusubiri kuwezeshwa?
wanahoji vijana!

Comments

Popular posts from this blog

Wise Men Council - The Vision

Here is Another way you can Support us to reach our goal(New and Used Items)for Sale.