JE LENGO AU NDOTO ZAKO ZINATEGEMEA SELIKALI? UKIWA KAMA KIJANA..
kutokana na sababu za kiuchumi, imeonekana kutakuwa na tatizo la kufanikiwa kwa vijana ambao wametolea macho selikali pekee na kushindwa kujiimarisha kwa njia mbadala au njia nyingine! imeonekana kwa utafiti uliofanywa na mtafta habari wetu ambaye amekuwa akifatilia maendeleo ya vijana walioweka nia yao ya mafanikio kupitia mlango wa selikali ili wafikie malengo..akiongea na baadhi ya vijana ambao wameonekana kukatishwa tamaa baada ya selikali kuweka mkazo kwenye mambo mengine tofauti! na kuweka la vijana kwenye listi yenye uvumilivu mkali ambayo inaweza kuchukua muda mrefu sana..baadhi yao wakitoa machoz wamesema ni afadhali tungejua mapema sasa tungekuwa mbali katika harakati zetu..lakini tunashukuru kwa baadhi ya secta binafsi ambazo zinashirikiana na selikali katika kuinua maendeleo ya Vijana, hatuna budi kukabiliana na hali halisi iliyopo kwa sasa! hivyo tunaiomba selikali kuzidisha na kuiendeleza KAMPENI KALI juu ya maendeleo ya vijana Tanzania..baadhi ya vijana wanazidi kuangamia katika uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya pamoja na biashara ya ukahaba kwa wakina dada..watu hao ambao hawajakubali kutaja majina yao, ila wameamua kutoa habari hizi kwa mwanahabari wetu...
JE UKIWA KAMA KIJANA LENGO AU NDOTO ZAKO ZINATEGEMEA SELIKALI? au upo tayari kusonga mbele?
Comments
Post a Comment