Posts

kutana na sababu zinazofanya wasanii walioendelea nchini kuwa binafsi na kuleta mapinduzi yasiyofaa/uaribifu!!

Ongezeko la kipato pamoja na kujiona tayari wapo kwenye system vimefanya wasanii wamesahau kuwa wao wananguvu kubwa  katika jamii kwenye upande wa kuleta mabadiliko kiakili au kimaendeleo ya kiuchumi kwa wakati. wanashindwa kugundua au wanafanya makusudi au ni ukosefu wa maarifa ambao unafanya wasanii kusahau kwamba wao ni kioo cha jamii, mambo wanayofanya sasa ni kutokana na kuiga kutoka nchi za wenzetu, lakini wanashindwa kuelewa kwamba watu wanaowaiga ni watu waliofikiria hayo mambo kutoka kwenye akili zao kulingana na nchi zao! sasa inakuwaje sisi na nchi yetu hii yenye majanga ya kutosha tunashindwa kuleta itikadi za maendeleo? angalia baadhi ya wacheza mpira wa Africa magharibi wanaocheza ulaya (ni watu wa itikadi za kusaidia jamii zao) kuleta mapinduzi ya kimaendeleo, ingawa nao wanastarehe zao lakini hawajabweteka  kama wasanii wetu. je harakati zipi analeta msanii unayemkubali? angalia isije ikawa unamkubali mpumbavu!! kama wewe ni mwanaharakati unaweza ku share huu u...

Nafasi za kazi kwa vijana Tanzania! usipitwe na Harakati.

Image
http://vijanajobs.com/tz/jobs/

Toyota Kenya Academy and Uwezo Fund to build hands-on capacity for the YOUTH and WOMEN .

Image
Toyota Kenya Academy will partner with the Uwezo Fund to build hands-on capacity for the youth and women. I am also pleased to note that, Toyota Corporation has taken a bold and encouraging decision to invest in a Fertilizer plant in Kenya. This will bolster my Government’s efforts to make Kenya food secure.. -Uhuru Kenyatta online advertising online advertising